Kuna njia mbalimbali za kuchanganua sentensi. Njia hizi ni: (a) msitari (b) jedwali (c) mchoro wa matawi. (a) Msitari Katika kuchanganua sentensi kwa njia ya msitari tunaonyesha namna sentensi inavyojipambanua. Kwa mfano, ili kubainisha sehemu mbili muhimu zaidi za sentensi tunatumia kanuni ya muundo wa virai kama ifuatavyo: S➡ KN …
SARUFI -MUUNDO WA SENTENSI: SHAMIRISHO (KIPOZI, KITONDO, ALA/KITUMIZI) NA CHAGIZO
Shamirisho ni sehemu ya kiarifu inayotokea baada ya kitenzi kikuu; na chagizo ni sehemu inayokuja baada ya shamirisho, hasa ikiwa inafafanua kuhusu kitenzi
SARUFI – MUUNDO WA SENTENSI: KIKUNDI NOMINO, KIKUNDI TENZI
Kila lugha ina muundo wake wa sentensi. Muundo huu unaongozwa na sheria zinazofafanua namna maneno mbalimbali yatakavyohusiana. Kwa jumla sentensi huwa na nomino na kitenzi, pamoja na aina nyingine za maneno.
SARUFI: SENTENSI ZA KISWAHILI
Sentensi ni mwambatano wa maneno wenye maana. Usahihi wa mwambatano huo hutegemea sheria za lugha inayohusika. Maneno kwenye sentensi huwa katika mafungu yenye uhusiano wa kimuundo na kimatumizi.