Vitenzi ni aina ya neno linaloeleza kitendo au hali inayofanywa na mtendaji. Aina za vitenzi: Vitenzi halisi, Vitenzi vikuu,Vitenzi visaidizi, Vitenzi vishirikishi, Vitenzi sambamba
Siku za wiki
Kwa Kiswahili, siku ya kwanza ni Jumamosi, “mosi” inamaanisha moja: Jumapili ni siku ya pili, Jumatatu ni siku ya tatu, Jumanne ni siku ya nne, Jumatano ni siku ya tano , Alhamisi ni siku ya sit ana Ijumaa ni siku ya saba.
Sauti zote za Kiswahili na jinsi ya kutamka
Sauti za Kiswahili ni sauti zinazotumika katika lugha ya Kiswahili. Sauti hizi ndizo zinazounda maneno ya Kiswahili.
Aina za nomino na mifano yake
Nomino ni aina ya neno inayotaja jina la mtu, mahali, kitu, au wazo.
Aina za Nomino
Nomino za pekee/maalumu /mahususi
Nomino za kawaida
Nomino za makundi/jamii
Nomino za wingi/Fungamano
Nominoambata
Nomino za kitenzijina
Nomino dhahania.
Tofauti kati ya nomino za pekee na nomino za kawaida
Nomino za pekee ni maneno yanayotaja majina mahususi ya watu, mahali, au vitu ambavyo vina sifa ya pekee. Nomino za pekee huanza kwa herufi kubwa. Nomino hizi hutaja vitu kwa kawaida. Nomino hizi hurejelea dhana ,vitu au viumbe vinavyopatikana duniani.
Mifano ya tanakali za sauti
Tanakali za sauti ni tamathali ya usemi ambayo hutumika kuigiza sauti au mlio wa kitu katika mazungumzo au maandishi na hivyo kufanya simulizi liwe hai zaidi.
Methali 50 za bidii
Hapa kuna methali 50 zinazozungumzia kufanya kazi kwa bidii. Kutokana na hizi methali utapata motisha ya kufanya kazi kwa bidii ili ufanikiwe.
Ngeli zote za kiswahili na mifano
Ngeli ni mfumo wa kisarufi katika lugha ya Kiswahili ambao hutumia viambishi awali ili kuonyesha jinsia, wingi, na hali ya nomino. Ngeli za Kiswahili, kuna ngeli ya:
Maana ya mtandao, matumizi na jinsi unavyofanya kazi
Mtandao ni mfumo wa vifaa vilivyounganishwa ili kubadilishana taarifa. Vifaa hivi vinaweza kuwa kompyuta, simu, vifaa vya nyumbani, au vifaa vingine. Ni njia inayojitegemea, ya umma na ya ushirika ambayo mara kwa mara hufikiwa na mamilioni ya watumiaji ili kukusanya taarifa, kufanya miamala au kuwasiliana.