Maana ya uboho

Uboho ni majimaji au rojorojo iliyomo katika mifupa ya binadamu au mnyama.

Uboho kwa Kiingereza ni bone marrow.

Maana ya maadili na umuhimu wake

Madili ni mwenendo au tabia njema inayokubalika katika jamii au katika kazi.

Maana ya mahusiano na aina zake

Mahusiano ni uhusiano unaoanzishwa kati ya watu wawili au zaidi. Mahusiano yanaweza kuwa ya kibinafsi, ya kifamilia, ya kitaalamu, au ya kijamii.

Maana ya nidhamu, umuhimu na jinsi ya kuikuza

Nidhamu ni kuwafunza watu kutii sheria au kanuni za tabia, kwa kutumia adhabu kurekebisha kutotii. Nidhamu pia ni uwezo wa kujidhibiti na kufuata sheria na kanuni.

Maana ya utandawazi, faida na hasara

Utandawazi ni mfumo wa kimataifa unaorahisisha mawasiliano na mahusiano katika nyanja za kiuchumi, kibiashara na kisiasa uliojikita kwenye maendeleo ya teknolojia ya habari.

Maana na umuhimu wa familia

Familia ni kundi la watu wanaoishi pamoja na kupendana. Wanaweza kuwa wameoana, kuwa na watoto, au kuwa na uhusiano wa karibu kwa njia nyinginezo. Familia hutoa upendo, msaada, na utunzaji.

Visawe na mifano

Visawe ni maneno yaliyo na maana sawa. Hapa kuna mifano ya visawe:

Kukanusha na kinyume cha andika

Kinyume cha andika ni futa, na neno “andika” linakanushwa kwa kuongeza kiambishi “si” kabla ya mzizi wa neno “andika”. Kwa hivyo, kinyume cha “andika” ni “siandiki”

Mtaka cha mvunguni sharti ainame

Methali ya mtaka cha mvunguni sharti ainame ina maana kuwa ukitaka kitu fulani lazima uwe tayari kukisumbukia.

Salamu za sheng na majibu

Sheng ni lugha common hapa Kenya, na hapa chini tumekupa salamu za sheng ambazo hutumiwa na majority ya Kenyans.