Sadaka ni kitu au fedha ambazo mtu humpa mtu mwingine kwa mfano maskini au wagonjwa kwa matarajio ya kupata baraka au thawabu kwa Mwenyezi Mungu
Maana ya zaka na sadaka na umuhimu wa kutoa
Zaka ni utoaji wa asilimia kumi ya mapato kwa ajili ya Mungu. Pia zaka huitwa “fungu la kumi”.
Zaka kwa Kiingereza ni tithe.
Sadaka ni utoaji wa hiari wa mali au huduma kwa ajili ya Mungu au kwa ajili ya watu wengine.
Sadaka kwa Kiingereza ni offering.