(a) Vitenzi vya kigeni Katika Sarufi ya Kiswahili, kuna vitenzi vya kigeni ambavyo hutumiwa katika uundaji wa nomino. Kwa mfano: Kitenzi cha Kigeni Nomino Inayovyazwa Fahamu Ufahamu Safiri Safari, Msafiri, Usafiri Sahau Usahaulivu Samehe Usamehevu, Msamaha, Msamehevu Afiki (Ma)afikiano Ahidi Ahadi (b) Vitenzi vya kuambisha viambishi Nomino mbalimbali huundwa kwa …
SARUFI: MNYAMBULIKO WA VITENZI: VITENZI VYA SILABI MOJA
Katika vitenzi vya silabi moja, inabidi ku iongezwe ili neno litamkike kwa msingi uliotajwa hapo juu.
SARUFI: MNYAMBULIKO WA VITENZI VYENYE ASILI YA KIGENI
Katika kunyambua vitenzi vyenye asili ya kigeni, kiambishi huambikwa kwenye mwisho wa kitenzi. Irabu ya mwisho inaweza kudondoshwa au kuunganishwa na ya kiambishi.
SARUFI: MNYAMBULIKO WA VITENZI
Mnyambuliko wa vitenzi ni utaratibu wa kuunda vitenzi vipya kwa kuongeza viambishi nyambulishi kwenye maumbo ya mizizi.
SARUFI: VITENZI
Sentensi ya Kiswahili ina aina mbalimbali za maneno. Aina mojawapo ni kitenzi. Kitenzi ni aina ya neno linalotoa taarifa juu ya tendo lililofanyika au linalotendwa na kiumbe au kitu.
Aina za vitenzi katika Kiswahili
Vitenzi ni aina ya neno linaloeleza kitendo au hali inayofanywa na mtendaji. Aina za vitenzi: Vitenzi halisi, Vitenzi vikuu,Vitenzi visaidizi, Vitenzi vishirikishi, Vitenzi sambamba
Mnyambuliko wa vitenzi na mifano
Mnyambuliko wa vitenzi ni urefushaji wa vitenzi kwa kuambisha mzizi wa vitenzi kwa viambishi tamati ili kuvipa vitenzi hivyo maana lengwa na halisi.