Zambarau in English

Zambarau in English linaweza kutafsiriwa kama Jambul. Zambarau in English is also known as purple color.

Kokoto in English

Kokoto in English is ballast. Maana yake kwa Kiingereza ni ‘stones or gravel used for building and construction.

Mkurugenzi in English

Neno mkurugenzi linaweza kutafsiriwa kwa Kiingereza kama director. Ufafanuzi wa director in English ni:

1. “a person who is in charge of an activity, department, or organization.”

Ukoko in English

Ukoko ni masalia ya chakula kilichopikwa na kuganda kwenye chombo cha kupikia chakula hicho, kama vile ukoko wa ugali.

Sufuria in English

Sufuria in English haina tafsiri moja ya moja kwa moja. Hii ndio tafsiri ya kawaida ya sufuria in English:

Nondo in English

“Moth refers to the winged insects that are typically nocturnal and attracted to light.” – (“Nondo hurejelea wadudu wenye mabawa ambao kwa kawaida huvutiwa na mwangaza wa usiku.”)

Biringanya in English

Biringanya au biringani ni tunda la mbiringani lenye rangi ya zambarau linalofanana na nyanya lakini ni kubwa zaidi na hutumika kama mboga.

Surua in English

“Surua” in English is measles.

Measles is a highly contagious, serious airborne disease caused by a virus that can lead to severe complications.

Kabati in English

1. Cupboard: Hii ndiyo tafsiri ya kawaida ya neno “kabati” in English. Ufafanuzi wake katika English ni:

Uvumilivu in English

Hizi hata ni tafsiri za uvumilivu in English na maana zake:

1. Endurance – the ability to endure an unpleasant or difficult process or situation without giving way.