Madili ni mwenendo au tabia njema inayokubalika katika jamii au katika kazi.
Maana ya nidhamu, umuhimu na jinsi ya kuikuza
Nidhamu ni kuwafunza watu kutii sheria au kanuni za tabia, kwa kutumia adhabu kurekebisha kutotii. Nidhamu pia ni uwezo wa kujidhibiti na kufuata sheria na kanuni.