SARUFI: UKANUSHAJI WA NYAKATI NA HALI

Ukanushaji ni hali ya kukataa au kutokubaliana na kauli fulani. Ni kusema sivyo, na ni kinyume cha kukubali au uyakinisho.

SARUFI: NYAKATI NA HALI

Nyakati ni kipindi au muda maalum wa kitendo kutokea. Hali ni dhana ya wakati ambayo inawakilishwa na viambishi fulani kwenye kitenzi.