Kuna matangazo ya aina nyingi: matangazo ya biashara, vifo, ajira, harusi, michezo na kadhalika. Matangazo yana kaida zake.
SAJILI: MATANGAZO
Sajili ni matumizi ya lugha katika mazingira na viwango maalum. Baadhi ya viwango hivi ni kama vile dini, sheria, biashara, michezo na magazeti. Sajili pia hujulikana kama rejesta.