Njiwa ni ndege wa jamii ya tetere au pugi lakini mkubwa anayekula nafaka mwenye rangi ya kijivu na nyeupe iliyopauka.
Tandu in English
Tandu in English ni centipede. Ufafanuzi wa centipede in English ni:
“a predatory myriapod invertebrate with a flattened elongated body composed of many segments. Most segments bear a single pair of legs, the front pair being modified as poison fangs.”
Kamba in English
Neno kamba in English linaweza kutafsiriwa kama:
1. String – material consisting of threads of cotton, hemp, or other material twisted together to form a thin length.
Kusuka in English
Neno kusuka in English linaweza kutafsiriwa kama:
1. Weave – form (fabric or a fabric item) by interlacing long threads passing in one direction with others at a right angle to them.
Kibali in English
Neno kibali in English linaweza kutafsiriwa kama:
1. Permit – officially allow (someone) to do something. – (kuruhusu rasmi (mtu) kufanya jambo fulani.)
2. License – authorize the use, performance, or release of (something). – (kuidhinisha matumizi, utendakazi, au kutolewa kwa (kitu).)
Malaya in English
Neno malaya in English ni prostitute. Ufafanuzi wa prostitute in English ni:
“a person, in particular a woman, who engages in sexual activity for payment.”
Vidonda vya tumbo vinaitwaje in English?
“Vidonda vya tumbo” in English could translate to either ulcers or gastritis, depending on the context.
Sururu in English
Tafsiri ya kawaida ya neno sururu ni: pick, pickaxe, or mattock. Ufafanuzi wa tafsiri hii katika Kiingerenza ni:
“A pickaxe, pick-axe, or pick is a generally T-shaped hand tool used for prying. Its head is typically metal, attached perpendicularly to a longer handle, traditionally made of wood and occasionally metal.”
Swala in English
1. Swala ni ibada katika dini ya KIislamu iliyo ya lazima kwa Mwislamu kama mojawapo ya nguzo tano za Uislamu.
2. Swala ni mnyama mwitu anayefanana na mbuzi.
3. Swala pia ni jambo lolote linalohitaji kujadiliwa na kupatiwa ufumbuzi.
Kuku in English
1. Chicken: Hii ndiyo tafsiri ya kawaida ya neno “kuku”.
2. Hen: Katika mazingira mengine, “kuku” pia inaweza kurejelea kuku wa kike haswa.