Mrenda in English

Mrenda in English ni jute mallow or nalita jute (Corchorus olitorius). Ufafanuzi wa jute mallow in English ni:

“Jute mallow is known for its unique appearance and texture. It has thick, slimy leaves with a bitter taste when raw, but when cooked properly, it becomes a delicious and nutritious dish.”

Sukuma wiki in English

Sukuma wiki in English is called collard greens. Ufafanuzi wa collard greens in English ni:

“Collards are vegetables that have large flat green leaves and tough stems, which are removed before eating. The leafy parts that we eat are called “collard greens.”

Ghafla bin vuu in English

Hapa kuna baadhi ya njia za kueleza “ghafla bin vuu” kwa Kiingereza, kulingana na muktadha:

All of a sudden

Out of nowhere

Without warning

As quick as a flash

In a blink of an eye

Unexpectedly

Abruptly

Mburukenge in English

Mburukenge in English is called monitor lizard. Monitor lizards are large, long-tailed reptiles that are related to snakes.

Minji in English

Tafsiri ya minji in English ni green peas. Ufafanuzi wa green peas in English ni:

“Green peas are the small, round, green seeds that grow inside pods on a climbing vine plant called Pisum sativum

Kizunguzungu in English

Kizunguzungu ni hali ya kujisikia kupepesuka na kutaka kuanguka.

Visawe vya kizunguzungu ni: kisunzi, kizungumkuti, masua, mbasua, zulu n.k

Homa in English

The Swahili word “homa” translates to fever in English. Ni neno la kawaida linalotumiwa kuelezea joto la juu la mwili linalosababishwa na maambukizi au ugonjwa.

Wimbi in English

Neno wimbi in Kiswahili lina maana kadhaa:

1. Wimbi ni sauti za ngurumo au nuru zinazosafiri hewani.

2. Wimbi ni tuta la maji baharini.

3. Wimbi ni mstari matao wenye alama ya ~.

4. Wimbi ni msukumo mkubwa wa jambo ambao ni mgumu kudhibitika.

5. Wimbi ni aina ya mtama.

Kisogo in English

Kiswahili word “kisogo” translates to “back of the head” in English. Unaweza pia kutumia neno maalum zaidi linaloitwa “occipital” ambalo linamaanisha sehemu yenye iko nyuma ya kichwa.

Dania in English

Dania ni kiungo cha chakula kinachotokana na mbegu za mmea wa coriander. Mbegu za dania zina ladha kali na harufu nzuri, na mara nyingi hutumiwa katika vyakula.