Barua kwa mhariri inatakiwa kufuata mtindo wa barua rasmi. Zingatia:
anwani yako na tarehe
anwani ya anayepelekewa
mada inayoshughulikiwa
lugha ya kuvutia
mawazo yanayotiririka
hitimisho
jina la mwandishi.