Baruameme ni barua inayopelekwa kupitia mdahalishi (intaneti). Barua hii inaweza kuwa na viambatanishi kama vile picha, makala, video na sauti.