Riwaya ya Nguu za jadi

Maudhui ya ukatili katika riwaya.

Sagilu anapanga njama ya kuwafurusha waketwa kutoka kwenye makazi yao akitumia kibaraka chake Sihaba. wanawatuma watu na kuchoma makazi yao katika mji wa matango.

Cheiya anajaribu kumuua Lonare kwa kumuwekea sumu katika kinywaji chake.

Mtemi Lesulia na wandani wake wa kisiasa wanapanga njama ya kutuma kutuma vijana kutifua mkutano wa Lonare.

Sagilu anamtuma Sihaba na kifurushi cha bomu ili kuwaua Mrima na Mangwasha siku yao ya harusi.

Lesulia anapanga Lonare atekwe nyara siku ya uchaguzi inapokaribia wanamtesa nusura afe.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *