Figo in English

Figo ni kiungo kilicho ndani ya mwili wa binadamu, mnyama na ndege ambacho hufanya kazi ya kusafisha damu na kutoa uchafu mwilini.

Ndevu in English

Ndevu in English ni beard. Ufafanuzi wa beard in English ni:

“a growth of hair on the chin and lower cheeks of a man’s face.”

Kitambaa in English

Kitambaa ni kisehemu cha gora la nguo cha kushonea mavazi, pazia, leso na kadhalika, vazi ghafi ambalo halijashonwa.

Sadaka in English

Sadaka ni kitu au fedha ambazo mtu humpa mtu mwingine kwa mfano maskini au wagonjwa kwa matarajio ya kupata baraka au thawabu kwa Mwenyezi Mungu

Nakupenda in English na meseji za love in English

Nakupenda in English ni “I love you”.

Nakupenda (I love you) inamaanisha:
Uthibitisho wa hisia za kimapenzi kwa mpenzi au mwenzi.
Uthibitisho wa mapenzi au kujali sana, haswa kwa mwanafamilia.

Feni in English

Feni translates to a fan in English.

“an instrument for producing a current of air

Jongoo in English

Jongoo ni mdudu wa rangi nyeusi au kahawia mwenye miguu mingi sana. The Swahili word jongoo translates to millipede in English.

Jogoo in English

Jogoo in English translates to a rooster or a cock. Ufafanuzi katika Kiingereza ni:

“a male domestic fowl” – (ndege wa kiume wa kufugwa)

Kichomi in English

Kichomi in English ni ugonjwa wa pneumonia.

“Pneumonia is an infection that inflames the air sacs in one or both lungs. The air sacs may fill with fluid or pus (purulent material), causing cough with phlegm or pus, fever, chills, and difficulty breathing.”

Huruma in English

Compassion: Hii ndiyo tafsiri ya kawaida ya huruma in English. Ufafanuzi wake in English ni:

“sympathetic pity and concern for the sufferings or misfortunes of others.”