Sensa ni hesabu ya watu au wanyama walio katika eneo fulani ambayo hufanywa kila baada ya kipindi fulani.
Bawasiri in English
Tafsiri ya bawasiri in English ni hemorrhoids. Ufafanuzi wa hemorrhoids in English ni:
“Hemorrhoids, also called piles, are swollen veins in the anus and lower rectum.”
Shahada in English
Shahada ni cheti apewacho mtu baada ya kuhitimu masomo ya chuo cha elimu ya juu kwa mfano chuo kikuu ili kuthibitisha kwamba amefaulu mitihani yake.
Umeamkaje in English
Tafsiri ya Kiingereza ya umeamkaje ni “how did you wake up?” Hata hivyo, ni muhimu kutambua kwamba hii ni tafsiri halisi (direct translation). Kwa kawaida au mara nyingi, umeamkaje in English hutumiwa kama salamu, na kwa hivyo umeamkaje in English ni “good morning”.
Chakula in English
Chakula in English ni food. Ufafanuzi wa food in English ni:
“any nutritious substance that people or animals eat or drink or that plants absorb in order to maintain life and growth.”
Maandazi/ mandazi in English
Maandazi is translated to English as fried bread or African doughnuts.
Maandazi are made with a simple dough of flour, water, yeast, sugar, and salt. The dough is then shaped into small balls or other shapes and fried in hot oil until golden brown.
Shangazi in English
Tafsiri ya shangazi in English ni aunt. Maana ya aunt in English ni:
“the sister of one’s father or mother or the wife or female partner of one’s uncle.”
Karani in English
Karani ni mfanyakazi wa ofisi ambaye huandika barua, hutunza majadala na kuhifadhi kumbukumbu za ofisi.
Kisima in English
1. Kisima ni mahali palipochimbwa maji kwa ajili ya matumizi ya jamii.
2. Kisima ni mahali panapochimbwa mafuta au gesi.
Mafua in English
Neno mafua hutafsiriwa kuwa flu in English. Ufafanuzi wa flu in English ni:
“refers to a viral respiratory illness characterized by fever, cough, sore throat, runny or stuffy nose, muscle aches, and fatigue.”