Kisogo in English

Maana ya Kisogo katika Kiswahili

Kisogo ni upande wa nyuma wa kichwa cha binadamu, kogo la kichwa.

Ni sehemu ya nyuma ya kichwa cha binadamu, inayoanzia kwenye shingo hadi kwenye ncha ya nywele.

Kisogo in English

Kiswahili word “kisogo” translates to “back of the head” in English. Unaweza pia kutumia neno maalum zaidi linaloitwa “occipital” ambalo linamaanisha sehemu yenye iko nyuma ya kichwa.

0 Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *