Maudhui ya ukatili katika riwaya. Sagilu anapanga njama ya kuwafurusha waketwa kutoka kwenye makazi yao akitumia kibaraka chake Sihaba. wanawatuma watu na kuchoma makazi yao katika mji wa matango. Cheiya anajaribu kumuua Lonare kwa kumuwekea sumu katika kinywaji chake. Mtemi Lesulia na wandani wake wa kisiasa wanapanga njama ya kutuma …
Kanga in English
Kanga ni nguo nyepesi ya pamba iliyonakshiwa na kuandikwa maneno yenye ujumbe maalumu ambayo huvaliwa na wanawake. Kisawe cha ufafanuzi huu ni leso.
Kanga pia ni ndege wa porini anayefanana na kuku mwenye mwili wenye madoadoa meupe na kichwa chenye upanga juu yake.
Bati in English
The Swahili word “bati” translates to tin in English. Kwa ujumla “bati” in English is any sheet metal, not just tin specifically.
Pazia in English
Pazia in English ni curtain. Ufafanuzi wa curtain in English ni:
“a piece of material suspended at the top to form a screen, typically movable sideways along a rail and found as one of a pair at a window.”
Maana ya wokovu na jinsi utaokolewa
Wokovu, kwa maneno ya kibiblia, unarejelea ukombozi wa wanadamu kutoka kwa matokeo ya dhambi na urejesho wa uhusiano mzuri na Mungu kupitia imani katika Yesu Kristo.
Maana ya ubatizo na umuhimu wake
Ubatizo ni kuzamishwa kabisa ndani ya maji. Ubatizo ni ishara kuonyesha kwa hadharani, kwamba mtu anayebatizwa ametubu dhambi zake na kutoa ahadi kwa Mungu ya kufanya mapenzi yake. Hii inamaanisha kuishi maisha ya kumtii Mungu na Yesu. Watu wanaobatizwa hujiweka kwenye njia ya uzima wa milele.