Misemo ya dharau na maana ya dharau katika Kiswahili na English

Dharau ni tabia ya mtu ya kupuuza mambo na kutofuata kanuni au taratibu zilizowekwa.
Dharau in English is to to despise or disdain. Huu ndio ufafanuzi wa Kiingereza wa neno dharau:

the feeling that a person or a thing is worthless or beneath consideration.
Pia hapa kuna misemo ya dharau:

Hadithi Fupi za Kiswahili

Hapa chini tumekupa hadithi fupi; hadithi ya hekaya, ya mafunzo na mahaba.

Salamu za sheng na majibu

Sheng ni lugha common hapa Kenya, na hapa chini tumekupa salamu za sheng ambazo hutumiwa na majority ya Kenyans.