Dhana ya Jumuiya ya Afrika ya Mashariki ilizalika enzi ya ukoloni wakati Tanganyika ilipokabidhiwa Waingereza kuisimamia.
SAJILI: MATANGAZO
Sajili ni matumizi ya lugha katika mazingira na viwango maalum. Baadhi ya viwango hivi ni kama vile dini, sheria, biashara, michezo na magazeti. Sajili pia hujulikana kama rejesta.