Katika utunzi wa kisanaa, kuna kitengo kinachohusiana na utoaji sifa za mtu au watu. Sifa za mtu zinaweza kutolewa na mtu mwenyewe (yaani, mwandishi) au na mtu mwingine.
UTUNGO: MATANGAZO
Kuna matangazo ya aina nyingi: matangazo ya biashara, vifo, ajira, harusi, michezo na kadhalika. Matangazo yana kaida zake.
MAANA YA MAGHANI
Maghani ni kipera cha fasihi simulizi kinachojumuishwa katika fani ya ushairi-simulizi. Kughani ni kitendo cha kusema kwa njia ya mahadhi (kuimba).
TAHADHARI: ILANI NA ONYO
Utungo wa tahadhari hutoa maelekezo na pia huonya. Kwa mfano, mwajiri anaweza kumtahadharisha mwajiriwa anayekiuka kanuni za kazi.
UUNDAJI WA ISTILAHI ZA KISWAHILI
Uundaji wa istilahi za lugha yoyote ni sehemu ya ukuzaji wa lugha hiyo. Kadri jamii zinavyoendelea kisiasa, kiuchumi,
HADITHI FUPI: KIPENDACHO MOYO NI DAWA
Wasitara hasumbuki, wa mbili havai moja Kidawa. Baba na mama hawakukutakia heri pale walipotaka kukuoza Dau, mwanamume mkofu, mchafu, hakika hakukustahilia. Lo, yasini! Si Kidawa wewe. Unajiona leo ulivyotononoka? Dunia yote ni yako. Moyo maluuni wa Kidawa ulimpa nguvu kwelikweli. Unajua kwa nini Kidawa akahisi hivyo? Ngoja nikueleze basi. Alikuwa …
UTUNGO: KUANDIKA NA KUJAZA HOJAJI
Hojaji ni mkusanyiko wa maswali ambayo hutumiwa kama kifaa katika kazi ya utafiti. Maswali haya hayatungwi kiholela bali hujifunga sana na mada na aina ya utafiti wa nyanjani unaohusika.
KUANDIKA: KUJAZA FOMU
Fomu ni aina ya maandishi yenye maagizo fulani na mapengo yanayohitaji kujazwa kwa ufupi na usahihi.
MAHOJIANO NA DAYALOJIA
Dayalojia ni mazungumzo au majibizano baina ya watu wawili au zaidi. Dayalojia inaweza kuwasilishwa kimazungumzo au kimaandishi.