Maana ya mtandao, matumizi na jinsi unavyofanya kazi

Mtandao ni mfumo wa vifaa vilivyounganishwa ili kubadilishana taarifa. Vifaa hivi vinaweza kuwa kompyuta, simu, vifaa vya nyumbani, au vifaa vingine. Ni njia inayojitegemea, ya umma na ya ushirika ambayo mara kwa mara hufikiwa na mamilioni ya watumiaji ili kukusanya taarifa, kufanya miamala au kuwasiliana.

Maana ya shashi

Shashi ni nini?

Shashi ni karatasi nyembamba sana.

Silabi na mifano

Silabi ni fungu la sauti linalotamkwa kwa pamoja kama fungu moja la sauti. Silabi inaweza kuwa na irabu moja au zaidi, au konsonanti moja au zaidi.

Ngeli ya A-WA na mifano

Hii ni ngeli ya majina ya viumbe wenye uhai k.vwatu, wanyama, ndege, wadudu, miungu, malaikan.k Majina mengi katika ngeli ya A-WA huanza kwasauti M- kwa umoja na sauti WA- kwa wingi. Hatahivyo baadhi ya majina huchukua miundo tofauti.

Mnyambuliko wa vitenzi na mifano

Mnyambuliko wa vitenzi ni urefushaji wa vitenzi kwa kuambisha mzizi wa vitenzi kwa viambishi tamati ili kuvipa vitenzi hivyo maana lengwa na halisi.

Maneno ya heshima na adabu

Maneno ya heshima na adabu yanaweka msingi jinsi ya kuishi na watu. Kutumia maneno haya kunaonyesha shukrani, adabu, na fadhili na kunaweza kueneza hali chanya na kuwafanya watu wakupende zaidi.

Tofauti kati ya fasihi simulizi na fasihi andishi

Fasihi ni sanaa inayotumia lugha au maneno katika sura mbalimbali kuwasilisha ujumbe unaomhusu binadamu. Hizi hapa ni tofauti kati ya fasihi simulizi na fasihi andishi.

Vitendawili vya kiswahili na majibu yake

Hapa chini utapata vitendawili zaidi ya 350 na majibu yake kulingana na alfabeti. Pia mwishoni wa vitendawili hivi utapata vitendawili na majibu pdf ya kudownload.

Mifano 100 ya nomino dhahania

Nomino za dhahania ni maneno yanayotaja majina ya watu na vitu ambavyo ni vya kufikirika tu. Hapa chini ni mifano ya nomino dhahania.

Mifano 25 ya vitanza ndimi

Vitanza ndimi ni  maneno yanayokaribiana na kuitanaitana kimatamshi na kumkanganya msomaji hasa anapoyatamka kwa haraka. Mifano ya vitanza ndimi ni: