“Pole” hutumiwa kuomba msamaha kwa kitu ambacho umekosea.
Pole in English
Sorry: Hii ndiyo tafsiri ya kawaida ya neno “pole” in English. “It is used to express sympathy or to apologize.”
Pole in English na vidokezo vya kusema “pole”
Choroko/pojo in English – Faida za kiafya za choroko
Choroko ni aina ya nafaka ndogo kama punje ya mtama yenye rangi ya kijani.
Fenesi in English – Maana ya Fenesi na faida za kiafya
“Fenesi” translates to jackfruit in English. Huu ndio ufafanuzi wa Kiingereza wa fenesi: “Jackfruit is known for its massive size, spiky exterior, and delicious flesh. When ripe, the flesh becomes sweet and juicy, while unripe jackfruit has a neutral flavor and meaty texture.”
Kitovu in English – Maana ya Kitovu
Neno “kitovu” in English inaweza kutafsiriwa hivi: Navel, belly button: This is another common meaning, referring to the indent at the center of the abdomen.
Tende in english – Na faida za kula tende
Tende in English is dates. Huu ndio ufafanuzi wa Kiingereza wa dates:
“Dates refer to the sweet, elongated fruits of the date palm tree. They grow in clusters and are enjoyed fresh, dried, or cooked with various dishes.”
Dagaa in English – Maana na faida ya dagaa
Dagaa in English is Sardines. Huu ndio ufafanuzi wa Kiingereza wa sardine:
a young pilchard or other young or small herring-like fish.
Misemo ya dharau na maana ya dharau katika Kiswahili na English
Dharau ni tabia ya mtu ya kupuuza mambo na kutofuata kanuni au taratibu zilizowekwa.
Dharau in English is to to despise or disdain. Huu ndio ufafanuzi wa Kiingereza wa neno dharau:
the feeling that a person or a thing is worthless or beneath consideration.
Pia hapa kuna misemo ya dharau:
Maji in English, maana, umuhimu, ngeli na wingi
Maji ni kiowevu kisicho na rangi wala ladha kinachopatikana kwenye mito, bahari au maziwa na wakati mwingine hutokana na mvua ambacho viumbe hunywa na watu hupikia, huogea au kufulia.
Sawa meaning in Kiswahili and English
Neno “sawa” linaweza kuwa na maana mbalimbali katika Kiingereza (English), kulingana na muktadha. Hapa kuna baadhi ya tafsiri za kawaida kwa Kiingereza: