Kijana ni mtu aliyekomaa kiakili na kimwili, lakini bado hajakomaa kiuchumi na kijamii. Kijana kwa kawaida huanzia umri wa miaka 15 hadi 25, lakini umri huu unaweza kutofautiana kulingana na utamaduni na jamii.
Maana ya maadili na umuhimu wake
Madili ni mwenendo au tabia njema inayokubalika katika jamii au katika kazi.
Maana ya nidhamu, umuhimu na jinsi ya kuikuza
Nidhamu ni kuwafunza watu kutii sheria au kanuni za tabia, kwa kutumia adhabu kurekebisha kutotii. Nidhamu pia ni uwezo wa kujidhibiti na kufuata sheria na kanuni.
Maana ya utandawazi, faida na hasara
Utandawazi ni mfumo wa kimataifa unaorahisisha mawasiliano na mahusiano katika nyanja za kiuchumi, kibiashara na kisiasa uliojikita kwenye maendeleo ya teknolojia ya habari.
Siku za wiki
Kwa Kiswahili, siku ya kwanza ni Jumamosi, “mosi” inamaanisha moja: Jumapili ni siku ya pili, Jumatatu ni siku ya tatu, Jumanne ni siku ya nne, Jumatano ni siku ya tano , Alhamisi ni siku ya sit ana Ijumaa ni siku ya saba.
Jinsi ya kukabiliana na baa la njaa
Baa la njaa hupatikana zaidi katika nchi zinazoendelea. Kwa hivyo, kuongeza tija ya kilimo katika nchi hizi ni muhimu kupunguza njaa na umaskini, hasa wakati huu tunapokabiliana na kupanda kwa bei za vyakula. Hapa kuna mapendekezo ya jinsi ya kupunguza baa la njaa.
Mifano ya misimu ya mwaka
Misimu ni mgawanyo wa mwaka kulingana na mabadiliko ya hali ya hewa. Kuna aina nne za misimu:
Umuhimu wa masomo
Sote tunapaswa kujua kwamba, masomo yanapojumuishwa katika utaratibu wetu kama jambo la muhimu sana, hutuletea manufaa mengi. Tukiwa na masomo tunaweza kuangalia upeo mpya, na kwa hivyo, tunapata fursa zaidi na usalama kwa maisha yetu ya baadaye.
Umuhimu wa utafiti
Utafiti ni msingi wa maendeleo katika jamii ya wanadamu. Inajitokeza kutokana na tamaa yetu ya asili kama wanadamu kutafuta kuboresha maisha yetu na kudhibiti ulimwengu unaotuzunguka. Utafiti una umuhimu kadhaa katika maisha ya binadamu, katika nakala hii tumekupa baadhi ya umuhimu huo.
Umuhimu wa nyimbo
Nyimbo ziko kila mahali na ziko na umuhimu sana katika maisha yetu. Zinatuunganisha katika tamaduni zote, huturudishia kumbukumbu, na hata hutupatia motisha katika maisha.